Uogeleaji

Kunayo fahari ya kuogelea katika maji na vilindi vya bahari Hindi. Kunayo idara maalum ya uogeleaji na upiga mbizi katika hoteli hii. Upiga mbizi huu hutembelea Watamu Marine Park kujionea win gi na utofauti wa viumbe wa bahari kama vile aina mbili za nyangumi kama vile Pomboo na Papa(Humpback na Whalesherks) ambao huurembesha ufuko wa mashariki ya kenya wa bahari Hindi.

Ushupavu na umahiri alionao Matthias na ujuzi mwingi juu ya upiga mbizi utakufanya usikisahau kitendo cha upiga mbizi kwa mara moja.                                  Mchezo wa mbio za Kibao-tiara.

 

kite surfing

Watamu imejulikana kwa umaalum wake kwa mchezo huu.kwa ushirikiano wa Award-Winning Kite School, mchezo huu umeimarika kwa   kila mchezaji wa mchezo huu.  Huduma za ulengi. Tunajaribu kuwasaidia wageni wetu walio na ari ya kuwahi azima yao maishani.Kundi letu la washauri watawasaidia wageni wetu kuweza kuwahi shabaha zao za kimaisha. Uvuvi wa kilindini/bahari kuu kwa ushirikiano na wavuvi watamaduni tunajitahidi kumuwezesha kila mwenye ari ya kuvua kuweza kushika samaki yule wa tunu kisha kumuandika- kama ilivyo sera ya serikali. hata hivyo yale mavuno makomavu yatapelekwa hotelini kwa kitoweo.

Thumbnails_YouTube_56.jpg
 

archery

text

Deep Sea Fishing

A bad day of fishing is still better than a good day at the office. Enjoy a day at sea and challenge the creatures of the deep. Our experienced local fisherman will make every fishing trip unique.

 
 

Tennis

text

 
 

snorkeling

text

 
 

Other 

 • 24/7 Reception, 
 • 24/7 Doctor, 
 • Laundry service, 
 • Babysitting, 
 • Boutique,
 • Tennis Courts Spa, 
 • Room Safe, 
 • Guest Transfer
 • free Parking,
 • free Wifi, 
 • Archery, 
 • Pool Table  
 • Bicycle Hire, 
 • Concierge , 
 • Table Tennis,