fuo

Hoteli hii imejengwa mahali nyeti ambapo mtu anaweza, kwa uchaguzi kujivinjaria upwa wowote kati ya fuo tatu za watamu.

Zipo fuo mbili nyerezi ambapo mtu anaweza kujistarehesha kwa huduma ya vinywaji na vitanda vya uga.

Ufuo ule mrefu unaofikiwa nyakati za kupwa na maji unaruhusu starehe za aina nyingi kama vile matembezi ya ufukoni, kubarizi, muogo kishada Vyakula na vinywaji

 

food & drink

Idara ya upishi hutayarisha aina mbalimbali ya vyakula na kuvigawa kama `buffets´ na `a lacarte` kutumia vyakula vya kiasili kutoka soko la kijijini.

Wapishi wetu ni wenye tajriba na wanahakikisha kila mgeni anafurahia chakula tamu chenye ladha ya uasilia mbalimbali . Idara ya baa nao ni wa tajriba ya juu na wanaustadi  mkubwa.

Huhakikisha wanamgusa mdudu wako kila wakati  uonjapo kinywaji chao. 

 

Mabwawa

Kunayo mabwawa mawili . Kunalo dogo la kubarizia uwapo unakinywaji au kitabu na kunalo kubwa lenye maandari ya ubarizi wa kuota jua. Mengineyo

 
 

Other 

 • Upokezi wa nyakati zote
 • Huduma za daktari wakati wowote
 • Huduma kwa watoto wadogo
 • Maonyesho na michezo ya ufukoni
 • Huduma za uhamisho au ubadilisho
 • Huduma za maegesho ya bure
 • Huduma za dob
 • Ubawabu na mapokezi
 • Ukandaji na ulainishaju viungo
 • Duka la nguo
 • Kasha/bweta