Vyumba vyetu mia moja vyenye msuko wa asili ya kiswahili vimo katika nyanza za makasri ishirinini na kila moja wapo linamulikia kwenye maandhari tulivu mojawapo bustani au ushwari wa maji ya mkondo wa hifadhi ya mida. 
Mkabala wa bustani

 
 
Rooms-1045.jpg

Garden & Creek

Katika vyunba vyetu vyenye kukabili bustani, utapata yafuatayo:

- Uga wa kibinafsi
- Kitanda cha besera
-Kiyoyozi na feni
- Chandarua na kinasa wadudu
- Runinga
- Bweta/Kasha
- Kahawa au chai ya ndani
 

bayview

Maandhari tulivu ya bustani:
 
- Uga wa binafsi
-Kitanda cha besera
- Kiyoyozi na feni
- Chandarua na kinansa wadudu
- Runinga
-Bweta/Kasha
- Kahawa au Chai ya ndani   
 
CoupleRoom-5639.jpg

superior

In the comfort of these 60m² rooms you will find:
- Uga wa binafsi
-Kitanda cha besera
- - Kiyoyozi na feni
- Chandarua na kinansa wadudu
- Runinga
-Bweta/Kasha
- Kahawa au Chai ya ndani